Mhe. Samia |Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alishiriki Siku ya Kitaifa ya Tanzania kwenye Maonesho ya Dubai Expo 2020 ambapo alitumia fursa hiyo kuhutubia washiriki kutoka nchi 192 walioshiriki kwenye maonesho hayo. Katika hotuba yake ambayo aliitoa tarehe 26 Februari, 2022 Mheshimiwa Rais Samia alitumia fursa hiyo kuwaalika Wawekezaji, Wafanyabiashara na Watalii kuja Tanzania kujionea fursa mbalimbali zilizopo nchini. 

  • Mheshimiwa Rais Samia  akiwa na mwenyeji wake wakielekea kwenye jukwaa kuu kwa ajili ya kuhutubai Maonesho ya Expo 2020Mheshimiwa Rais Samia akiwa na mwenyeji wake wakielekea kwenye jukwaa kuu kwa ajili ya kuhutubai Maonesho ya Expo 2020