Waziri wa Fedha akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi Fund makao makuu ya Mfuko huo Abu Dhabi
Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia mazungumzo ya Waziri wa Fedha na Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi Fund
Waziri wa Fedha na Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi Fund wakisaini Mkataba wa Mkopo Nafuu kwa utekelezaji wa mradi wa Umeme wa Kyaka Benaco wa Mkoani Kagera
Waziri wa Fedha na Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi Fund wakisaini Mkataba wa Mkopo Nafuu kwa ajili ya Mradi wa Umeme wa Kyaka Benaco Mkoani Kagera
Waziri wa Fedha na Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi Fund wakibadilishana Mkataba wa Mkopo Nafuu kwa ajili ya Mradi wa Umeme wa Kyaka Benaco Mkoani Kagera
Mheshimiwa Balozi akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
Mhe Balozi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa ADEX unaotoa mikopo nafuu kwa makampuni ya UAE yanayotekeleza miradi nchini Tanzania
WAZIRI WA FEDHA AKISALIMIANA NA MKURUGENZI MKUU WA ADEX
WAZIRI WA FEDHA AKISAINI KITABU CHA WAGENI UBALOZINI ABUDHABI
Waziri wa Fedha na Katibu Mkuu wake wakiwa kwenye Darasa la Kiswahili Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi

WORKING VISIT OF THE MINISTER OF FINANCE IN UAE