Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ali Hassan Mwinyi (AHMES) watembelea Ubalozi wa Tanzania na U.A.E
Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst), Yacoub Hassan Mohammed, Balozi wa Tanzania, Abu Dhabi, nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) amewakaribisha na kuwapa semina juu ya kazi za Ubalozi, majukumu ya Ofisi ya Ubalozi na Ofisi ya Konseli… Read More








